Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu
wa nchi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyeatta (KICC) jijini Nairobi
Agosti 28, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Kenyatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni