Hatimaye Shirikisho la soka barani Ulaya ( UEFA ) limempata Rais mpya ambaye ni Aleksander Ceferin raia wa Slovenia.
Rais huyo mwenye miaka 48 anachukua nafasi iliyoachwa na Michel Platini ambaye amefungiwa kujihusisha na soka baada ya kukwaa kashfa ya rushwa.
Aleksander Ceferin ni Rais wa chama cha soka cha Slovenia na kitaaluma ni mwanasheria. Alipata kura 42
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni