Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kijiji cha Kigazi - akimweleza zaidi ya nyumba 200 zilizoanguka baada ya kutokea tetemeko la ardhi.
Pichani ni nyumba ya Mzee John Paulo iliyoanguka baada ya kutokea tetemeko la ardhi. Zaidi ya kaya 300 hazina makazi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni