Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meya wa manispaa ya Dodoma, Mstahiki Jaffar Mwanyemba baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam Septemba 14, 2016 ili kuendelea na vikao vya Bunge. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan Lugimbana na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni