Mjerumani Bastian Schweinsteiger
amejikuta akibubujikwa na machozi wakati umati wa mashabiki ukimuaga
katika mchezo wake wa mwisho kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani.
Mchezaji huyo wa Manchester United
ameacha rasmi jana kuicheza timu ya taifa ya Uingereza baada ya
kuicheza mechi 121.
Katika mchezo huo wa jana dhidi ya
Finland, Ujerumani inayonolewa na kocha Joachim Low ilishinda kwa
magoli 2-0.
Bastian Schweinsteiger akibebwa na kurushwa juu na wachezaji wenzake wa Ujerumani
Bastian Schweinsteiger akiwa amekumbatiana na kocha Joachim Low
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni