.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 1 Septemba 2016

JELA MIAKA 10 NA VIBOKO 2,000 KWA KUTOAMINI KAMA MUNGU YUPO

                                                                Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia 

Mahakama nchini Saudi Arabia imeagiza mwanaume mmoja kuchapwa viboko 2,000 na kifungo cha miaka 10 jela, kwa kudharau Kuraan na kutoamini kama Mungu yupo akitumia twitta yake.

Mwanaume huyo mwenye miaka 28, amehukumiwa katika taifa hilo la Kiislam, baada ya polisi kubaini kuwa katuma twitti 600 zenye kuonyesha imani yake ya kuwa hakuna Mungu.

Chini ya Sheria za Saudi Arabia zilizoanza kutumika miaka miwili iliyopita kutokuamini uwepo wa Mungu ni sawa na kosa la kigaidi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni