Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na Mwenyekiti Mwenza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya The Investment Climate Facility for Africa (ICF), Neville Isdell na Katikati ni Mwenyekiti Mwenza na Mwenyekiti wa Masula ya Uhusiano wa Kimataifa wa ICF, Ris Mstaafu, Benjamin Mkapa katika hafla ya kuzindua Ripoti ya Hali ya Hewa Barani Afrika, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar Septemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti Mwenza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya The Investment Climate Facility for Africa (ICF), Neville Isdell na Katikati ni Mwenyekiti Mwenza na Mwenyekiti wa Masula ya Uhusiano wa Kimataifa wa ICF, Ris Mstaafu, Benjamin Mkapa katika hafla ya kuzindua Ripoti ya Hali ya Hewa Barani Afrika, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar Septemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Kutoka kwa Mwenyekiti Mwenza na Mwenyekiti wa Masula ya Uhusiano wa Kimataifa wa Taasisi ya The Investment Climate Facility for Africa (ICF), Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, Ripoti ya Hali ya Hewa Barani Afrika, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar Septemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni