.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Septemba 2016

BRAD PITT ASHTUSHWA NA HATUA YA MKEWE ANGELINA JOLIE KUDAI TALAKA

Muigizaji filamu Brad Pitt amesema ameshtushwa na hatua ya mkewe Angelina Jolie kuwasilisha nyaraka za kudai talaka, na ameomba kuwepo na usiri ili kutowaathiri watoto wao.

Akiongea na gazeti la People Pitt amesema kuwa ameshutushwa na uamuzi huo wa mkewe, ila cha muhimu sasa ni mustakabali wa watoto wao.

Muigizaji filamu Jolie, 41, amewasilisha nyaraka za kudai talaka kutoka kwa Pitt, 52, kwa madai ya kuwepo kwa tafauti baina yao ambazo haziwezikupata usuluhishi.
                                              Brad Pitt na Angelina Jolie wakiwa na familia yao
Muigizaji Mfaransa Marion Cotillard anayedaiwa kutibua ndoa ya Pitt na Jolie akiwa na mwenza wake Guillaume Canet

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni