.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Septemba 2016

BORUSSIA DORTMUND YAICHAKAZA WOLFSBURG, AUBAMEYANG AKITUPIA MBILI

Borussia Dortmund imeichakaza Wolfsburg kwa magoli 5-1 huku Pierre-Emerick Aubameyang akitupia magoli mawili na kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi ya Bundesliga.

Dortmund, sasa imefunga magoli 17 katika michezo yake mitatu iliyopita na wanalingana kwa pointi tisa na Bayern Munich.
                                                          Pierre-Emerick Aubameyang akitikisa nyavu 
                          Pierre-Emerick Aubameyang akipongezwa na Thomas Tuchel

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni