.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Septemba 2016

MAAFISA POLISI 12 WAJERUHIWA WAKIDHIBITI MAANDAMANO NCHINI MAREKANI

Maafisa polisi 12 wamejeruhiwa nchini Marekani wakati wa maandamano yaliyochochewa na tukio la polisi kumpiga risasi mwanaume mweusi huko Charlotte, North Carolina.

Waandamanaji pia wameharibu magari ya polisi karibu na ghorofa ambalo tukio hilo la kupigwa risasi mtu huyo limetokea, idara ya polisi ya Charlotte-Mecklenburg imeeleza.

Mapema jumanne, Mmarekani mweusi Keith Lamont Scott, 43, alipigwa risasi na afisa polisi mweusi na baadaye kufariki akiwa hospitali.
                         Waandamanaji wakipambana na polisi katika eneo la Charlotte

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni