.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Septemba 2016

MAREKANI YAISHUTUMU URUSI KWA KUHUSIKA NA SHAMBULIZI LA MALORI YA MISAADA

Marekani imesema inaishutumu Urusi kwa kuhusika na tukio la kushambulia msafara wa misaada karibu na mji wa nchini Syria wa Aleppo siku ya jumatatu.

Maafisa wa Marekani wameviambia vyombo vya habari vya nje, kuwa ndege mbili za Urusi zilihusika na shambulizi hilo la msafara wa malori ya misaada.

Urusi imekanusha vikali kuhusika na tukio yenyewe ama ndege za Syria na kusema tukio hilo limetokana na moto ulitokea aridhini na wala si angani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni