.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Septemba 2016

RAIS WA ZAMANI WA BRAZIL LUIZ INACIO LULA DA SILVA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva atafikisha mahakamani kwa mashtaka ya rushwa na utakatishaji fedha katika mradi wa kampuni ya mafuta ya taifa ya Petrobras.

Waendesha mashtaka wanasema alikubali kiasi cha 3.7m reais sawa na dola milioni 11 kama rushwa kuhusina na mradi wa mabilioni ya dola.

Lula, 70, alishafunguliwa mashtaka mwezi Agosti kwa madai ya kuzuia uchunguzi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni