.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Septemba 2016

CIARA NA SERENA WILLIAMS WAPONDA RAHA WIKI YA MITINDO YA MILAN


Mwanamuziki Ciara mwenye mafanikio ya mauzo ya platinum na Serena Williams bingwa maarufu wa tenesi wameonekana pamoja wakiwa wenye furaha kwenye wiki ya mitindo ya Milan.

Ciara na Serena Williams wamekutanisha matunda ya vipaji vyao na kuponda raha wakati wa wiki hiyo ya mitindo ya Milan, ambapo wameonekana jana wakiwa wamevalia viatu ya Guiseppe Zanotti.
 Serena Williams akiwa anaangalia simu yake akiambatana na Ciara na mwanaume mtu mzima ambaye jina lake halikuweza kujulikana 
  Mwanamke mmoja akionekana akimuongelesha Serena Williams ambaye alikuwa bize na simu yake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni