Nyota
Cristiano Ronaldo ameonyesha picha zake akijifua gym wakati
akiendelea kujiweka fiti baada ya kuwa majeruhi ili kujiweka tayari
kurejea dimbani na Real Madrid.
Katika
moja ya picha hizo Ronaldo ambaye ni mchezaji anayependa sana kufanya
mazoezi gym, anaonekana akiwa ameweka mguu wake juu ya mpita mkubwa
huku akipiga push up.
Cristiano Ronaldo akijifua gym ili kujiweka fiti
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni