.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Septemba 2016

GARETH BALE, CRISTIANO RONALDO WAPO TAYARI KUIVAA BORUSSIA DORTMUND

Kocha Zinedine Zidane ameendelea kuangali kikosi chake cha Real Madrid kikijiandaa kwa mchezo wao wa leo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Borussia Dortmund.

Gareth Bale, Cristiano Ronaldo pamoja na wachezaji wengine wameonekana wakiwa katika ari ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo wa leo usiku.

Aidha, Zidane amekanusha kuwapo kwa mgogoro wowote baina yake na Ronaldo, ambao ulivumishwa baada ya kocha huyo kumtoa Ronaldo kabla ya mchezo kuisha mwishoni mwa wiki.
                                                Cristiano Ronaldo akijifua na wachezaji wenzake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni