Bi. Hillary Clinton amemuita mgombea
mwenzake wa urais wa Marekani Donald Trump kuwa ni mtu mbaguzi ambaye
alianzisha harakati za 'birther' ambazo zilikuwa zikihoji uraia wa
rais Barack Obama.
Clinton ametoa mashambulizi hayo kwa
Trump katika mdahalo wao wa dakika 90 ulioshuhudiwa na watu zaidi ya
milioni 100 duniani, huku naye Trump akimponda Clinton kuwa hana sifa za
urais.
Mgombea urais wa Republican Donald Trump akiongea kwenye mdahalo huo
Mgombea urais wa Democratic Hillary Clinton akisisitiza jambo kwenye mdahalo huo
Wagombea urais Trump na Clinton wakipeana mkono baada ya kumalizika kwa mdahalo wao
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni