Baada ya ndoa, Hafla ilifanyika kwenye Ukumbi wa Maendeleo House Jijini Mwanza, kama picha inavyoonesha maharusi wakiingia Ukumbini. Na BMG
Maharusi, Bwana Robson Mkesha Baliyanga (kushoto) na Miss Penina Mkama (kulia) wakiingia ukumbini
Mc Joel Maduka, akitoa mwongozo kabla maharusi kuingia ukumbini
Mwenyekiti wa kamati ya harusi (kushoto) akiwakaribisha maharusi
Maharusi wakikata utepete kuingia ukumbini
Maharusi wakilishana keki, ishara ya upendo
Mwanamke heshima
Wasimamizi/Wapambe wa maharusi nao wakilishana keki
Maharusi na wapambe wao
Maharusi wakinyweshana shampeni
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi
Mwenyekiti wa kamati ya harusi akitoa neno kwa maharusi
Kamati ya harusi
Kamati ya harusi
Wageni waalikwa
Waalikwa
Taswira ukumbini
Bonyeza HAPA Kwa Picha za Kanisani
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni