Mvua inayombatana na kimbuka
kiitwacho Hermine imeuwa watu wawili nchini Marekani huku kimbuka
hicho kikielekea kwa kasi eneo la kaskazini.
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji
Kimbunga hicho chenye nguvu kililiangusha lori hili kama linavyoonekana hapa
Mti ulioangukia paa la nyumba ukiondolewa vikosi vya uokoaji



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni