.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 28 Septemba 2016

MAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA YA KUSINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa makampuni mbalimbali kutoka Korea ya Kusini ambao wamekuja Tanzania kuona fursa mbalimbali za uwekezaji. Mazungumzo hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 27, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa makampuni mbalimbali ya Korea Kusini ambao wapo nchini kuona fursa mbalimbali za uwekezaji nchini. Picha hiyo ilitanguliwa na mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 27. Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mbula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa akikabidhiwa jezi yanye maneno Hapa Kazi Tu iliyotolewa na wawekezaji kutoka Korea ya Kusini waliokuja nchini kuona fursa mbalimbali za uwekezaji. Awali Waziri Mkuu alizungumza na wawekezaji hao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 27, 2016. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni