.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Septemba 2016

MAJALIWA AWAFARIJI WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole baadhi ya majeruhi wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera wakati alipotembelea hospitali ya mkoa wa Kagera mjini Bukoba Septemba 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu walipotez maisha kutokana na tetemeko la ardhi mkoani kagera katika ibad maalum ya kuwaombea marehemu hao iliyofanyika kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Septemba 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole wafiwa wakati alipokwenda mjini Bukoba Septemba 11, 2016 kukagua athari za tetemeko la ardhi na kuwafariji majeruhi, wafiwa na wananchi wa mkoa wa Kagera. Alikuwa katika Ibada ya kuwambea marehemu hao kwenye uwanja wa Kaitaba .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyufa zililizosababishwa na tetemeko la ardhi mkoani Kagera wakati alipotembelea Shule ya Sekondari ya Nyakato kuona athari za tetmeko hilo Septemba 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananfunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyakato mkoani Kagera wakati alipokwenda shuleni hapo Septemba 11, 2016 kujionea athari za tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita mbele ya bweni la shule ya sekondari ya Ihungo mkoani Kagera ambalo liliporomoka kutokana na tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa huo . Alikuwa katika ziara ya kukagua athari za tetemeko hilo na kuwapa pole wananchi, Septemba 11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni