Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Bilal wakishiriki katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waislamu baada ya kushiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni