.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Septemba 2016

MAMA OMUMBEIJA MA HELENESTINA PETER RWABIGENE KUAGWA LEO MUHIMBILI HOSPITAL

Injina Jafari Rwabigene wa Mbweni jijini Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi, Omumbeija Ma Helenestina Peter Rwabigene kilichotokea siku ya jumanne 06/09/2016 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
 

Mipango ya mazishi inafanyika Tabata Segerea kwa Dr. Mutta, mwili wa marehemu utaagwa leo alhamisi 08/09/2016 katika Hopsital ya Taifa Muhimbili saa tatu asubuhi, na baadaye mwili utasafirishwa kwenda kijijini Kahororo Bukoba.
 

Maziko yatafanyika jumamosi 10/09/2016 kijijini Kahororo - Bukoba.
 

Habari ziwafikie ndugu na jamaa wote waliopo ndani na nje ya nchi.

Bwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, AMINA.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni