Mtalii raia wa Italia ameuwawa kwa
kukanyagwa na tembo wakati akimpiga picha kwenye mbuga ya wanyama ya
taifa ya Tsavo nchini Kenya.
Mtalii huyo Fernando Mocclola 66,
walikuwa wamefikia kwenye kambi ya Swara ambako tukio hilo
lilipotokea jana majira ya saa tano asubuhi.
Polisi wamesema mtalii huyo
alimuacha mkewe akiwa kwenye hema na kwenda kuwapiga picha tembo
waliokuwa wakinywa maji kwenye mto Sabaki.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni