.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Septemba 2016

HATIMAYE FILAMU YA KUSISIMUA YA MBINGU YA WAKOSEFU YAINGIA MTAANI PATA NAKALA YAKO KWA TSH 5,000 TU

 was
Hii ndio Filamu yenyewe ya Mbingu ya Wakosefu
Ili kupata nakala yako tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia namba 0713455232
Mkurugenzi Mkuu wa Mwamba’s Film Casting Stephen Mapunda akiwa na CD za Mbingu ya Wakosefu
Msimamizi Mkuu wa Blogs za Mikoa Tanzania Fredy Anthony Njeje akiwa na DVD zake za Mbingu ya Wakosefu
Faith anakwambia “Bado haujachelewa kupata nakala yako ya Mbingu ya Wakosefu ambayo ambapo utajifunza mengi”
Mmoja wa vijana wa Mwamba’s Film Casting Montana akiwa tayari kuelekea kusambaza DVD hii sehemu mbalimbali
Kijana Juma ambaye yupo Mwamba’s Firm Casting akiwa na DVD ya Mbingu ya Wakosefu
Mwanadada Lilian Michael anasema “Filamu hii ya Mbingu ya wakosefu inamafunzo tosha sana kwa watu wa rika zote hivyo si ya kuikosa”
Kijana Samson Tarimo nae anasema kwamba “Kijana na watu wa zima kwa kuangalia Filamu hii utapata chakula cha Ubongo na kujifunza mengi”
         Filamu hii kwa hakika sio ya kuikosa kabisa , na utafikishiwa pale ulipo
Mmoja wa wateja Atrey (Kusoto) akipata DVD yake ya Mbingu ya Wakosefu
Bi dada nae akipata Filamu yake ya Mbinu ya Wakosefu kutoka wa Faith
Waaaah….. Watembelee hapa http://mwambasfilmcasting.blogspot.com kuona Shughuli zao za mazozi. Picha zote na Fredy Njeje

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni