Muigizaji wa Nollywood Lauritta Onye
amevunja rekodi ya kurusha tufe kwa kulirusha mita 8.40m na kutwaa
medali ya dhahabu katika michuoano ya Paralimpiki Jijini Rio.
Mnaigeria huyo ambaye pia
anajulikana kama Laury White alishindwa kuzuia furaha yake na
kujikuta akishangilia kwa kupiga sarakasi mbele ya kamera jambo
ambalo liliwavutia wengi.
Mwanamichezo huyo wa Nigeria
alitumia jina la Laury White katika filamu aliyoshiriki iitwayo Lords
of Money ya mwaka 2015.
Lauritta Onye akikimbia kwa furaha baada ya kuvunja rekodi
Lauritta Onye akipiga sarakasi kuonyesha furaha yake ya ushindi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni