.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Septemba 2016

MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO KATIKA MIJI KADHAA UINGEREZA

Miji ya Manchester na Lancashire nchini Uingereza imekumbwa na mvua kubwa, iliyosababisha mafuriko na umeme kukatika huku mvua ya kimbunga cha tornado ikiukumba mji wa Sheffield.

Njia na maduka makubwa ya bidhaa yalijaa maji katika eneo la North West, huku safari za ndege zikishindwa kuendelea na michezo kuhairishwa.
                 Mwanamke akipita kwenye barabara iliyofurika maji Jijini Manchester
Maafisa wa mchezo baina ya Manchester City na Borussia Monchengladbach walilazimika kuhairisha mchezo jana baada ya uwanja kujaa maji 
                                      Magari yakiwa yanakatiza kwenye barabara zilizojaa maji 
                         Wingu zito likiwa limetanda angani huku mwanga wa radi nao ukionekana

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni