.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Septemba 2016

POLISI NCHINI INDIA KUKAGUA BIRIANI KUHAKIKISHA HAZINA NYAMA

Polisi wa kaskazini magharibi mwa India katika jimbo la Haryana wataanza kukagua biriani inayouzwa ili kuhakikisha haina nyama ya ng'ombe.

Ukaguzi huo wa polisi utafanyika kwa ushirikiano na maafisa mifugo katika wilaya ya Mewat, Mwenyekiti wa Tume ya Huduma za Ng'ombe Bhani Ram Mangla amesema.

Jamii ya Wahindu waliowengi humchukulia mnyama ng'ombe kama mnyama mtakatifu lakini wahindi wengi hula nyama. Ulaji nyama katika jimbo la Haryana umepigwa marufuku.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni