Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016 akiwa ameongozana na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu
Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka
kuangalia sehemu ya kupakulia mafuta kutoka kwenye meli katika bandari
ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu
Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo
Septemba 27, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kuangalia sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia
nchini kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam
leo Septemba 27, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata
maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya kuhusu chumba cha mitambo ya
uthibiti wa kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli
(Oil Flow Meter) katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata
maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini
katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016
Wafanyakazi
wa bandari ya Dar es salaam wakimlaki kwa furaha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea nao baada
ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni