.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Septemba 2016

ZIARA YA MAJALIWA KIBITI NA KILWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiingia kwenye uwanja wa michezo wa Kibiti wilayani Kilwa ambapo Waziri Mkuu alihutubia mkutano wa hadhara , Septemba 26, 2016. . Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea magodoro 10 kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Mendeleo ya Wananchi cha Kibiti, Bi. Cecilia Mfuko ukukiwa ni mchango uliotolewa na Chuo hicho kwa Hospitali ya Kibiti. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa michezo mjini Kibiti Septemba 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimshukuru Mzee Abadallah Ngwele baada ya kupokea madawati 10 yaliyotolewa na wazee wa Kibiti katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa michezo wa Kibiti, Septemba 26, 2016. Kushoto ni mkewe Mary na watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kilwa baada ya kuwasili mjini Utete kwa ziara ya siku moja wilayani humo Septemba 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimuagiza Mkuu wa wilaya ya Kilwa Juma Njwayo kuhakikisha  anachukuwa hatua za haraka dhidi ya watumishi wa haspitali ya wilaya hiyo ambao hawazingatii maadili ya kazi zao na wamegeuka kuwa kero kwa wananchi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni