.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Septemba 2016

RAIS MUSEVENI WA UGANDA AWASILI DAR ES SALAAM JIONI HII TAYARI KWA MKUTANO WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2016 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake
huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2016 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es Salaam Septemba 7, 2016 leo jioni tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe, Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2016 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho (Picha zote na Ikulu).
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga (kuia) na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango (kushoto) mara mgeni huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo Septemba 7, 2016 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni