.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Septemba 2016

ZIARA YA DONALD TRUMP YAMPONZA WAZIRI WA FEDHA WA MEXICO

Waziri wa Fedha wa Mexico, Luis Videgaray, amejiuzulu kufuatia ziara ya mgombea wa urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican Donald Trump wiki iliyopita.

Bw. Videgaray alionekana kama muandaaji mkuu wa mkutano wenye utata baina ya Bw. Trump na rais wa Mexico, Enrique Pena Nieto.

Ziara hiyo ilikosolewa mno na wananchi wa Mexico katika mkutano na waandishi wa habari wa kitaifa na kwenye mitandao ya jamii.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni