
wa Bonanza hilo Frank Rwamugira akiwasihi watu kuwa na utaratibu wa kujiwekea akiba Watu mbalimbali wakiendelea kufuatilia Michezo hiyo , hata Boda boda nao walikuwa bize na Bonanza hilo Mbuzi huyu ndio ilikuwa zawadi ya Mshindi katika Bonanza hilo lililoandaliwa na Songas Football Club Rais wa Songas Football Club Ismail Sheha ambao ndio walioandaa Bonanza hilo akitoa neno la shukurani kwa wote ambao walihudhulia katika Bonanza na kusisitiza kuwa huo haukuwa mwisho wataendelea zaidi kuhamasisha Michezo, usafi na Afya Bora. Moja ya timu ikiwa imefungwa goli la kizembe huku goli kipa asijue cha kufanya na wachezaji wengine kukimbia kwa ajili ya kujipanga zaidi Mpira ukiendelea huku watu mbalimbali wakifuatilia Burudani hiyo kwa makini . Picha na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa











Hakuna maoni :
Chapisha Maoni