.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 1 Septemba 2016

TAMASHA LA PAMOJA CARNIVAL LAJA

WAU 
Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu (kushoto),akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Fasta Fasta, Prasada Acharya waandaaji wa Tamasha la Pamoja Carnival linalotarajiwa kufanyika Septemba 24 mwaka huu kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, wakati wa utambulisho wa huduma ya usafiri wa haraka na salamakwa njia ya mtandao jana
Viongozi wa ambao ni waandaaji wa Tamasha la Pamoja Carnival wakifuatilia maelezo kuhusu tamasha hilo, wakati yakiwasilishwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni