.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Septemba 2016

TIMU YA TAIFA YA HISPANIA YAICHAKAZA BILA YA HURUMA LIECHTENSTEIN

Diego Costa ameondoa ukame wa magoli katika michezo ya kimataifa baada ya kuitwa kwenye timu ya taifa, wakati Hispania ikiichakaza Liechtenstein magoli 8-0 katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia.

Katika mchezo huo Diego Costa aliandika goli la kwanza na baadaye beki Sergi Roberto aliifungia Hispania goli la pili, Silva alifunga goli la tatu, Vitolo la nne, Diego Costa la tano Morata la sita na la saba na Silva kumalizia la nane.
                       Mchezaji David Silva akiufuata wavuni mpira baada ya kufunga goli
                         Beki Sergi Roberto akiachia shuti lililojaa wavuni na kuandika goli

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni