.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Septemba 2016

TIMU YA WALES YAANZA KWA USHINDI KUWANIA KUFUZU KUMBE LA DUNIA

Timu ya Wales imeanza kampeni ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Dunia 2018 kwa kujiamini baada ya kupata ushindi wa kishindo wa magoli 4-0 dhidi ya Moldova.

Katika mchezo huo Wales walikumbana na upinzani mkali kutoka kwa Moldovan, lakini walipambana vikali na kuongoza kwa magoli 2-0 hadi kufikia mapumziko kupitia magoli ya Sam Vokes na Joe Allen.

Mchezaji nyota wa kutegemewa wa Wales na Real Madrid Gareth Bale alifunga goli la tatu na kisha kufunga goli la penati katika dakika za mwisho.
                                        Mchezaji tegemeo wa Wales gareth Bale akifunga goli 
               Mshambuliaji wa Burnley Sam Vokes akishangilia goli aliloifungia Wales

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni