.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Septemba 2016

WANANZENGO WA 102.5 LAKE FM MWANZA WAJUMUIKA NA MFANYAKAZI MWENZAO KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA


Septemba 20 miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa kijana mchapa kazi anayefanya kazi na 102.5 Lake Fm Mwanza, Imani Hezron. Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Uongozi wa Lake Fm #RahaYaRock #RedioYaWananzengo umemuandalia Imani tafrija fupi kama picha zinavyoonekana. Na BMG.
Mwananzengo wa Lake Fm Mwanza, Imani Hezron, akiogeshwa kwenye siku yake ya kuzaliwa, na baadhi ya wafanyakazi wenzake.
Mwananzengo wa Lake Fm Mwanza, Imani Hezron, akiogeshwa kwenye siku yake ya kuzaliwa

Mwanahabari wa Lake Fm na Blogger wa BMG, George Binagi-GB Pazzo, akimlisha keki Imani Hezron
Mtangazaji wa Kipindi cha Mshike Mshike, Aisha BBM, akilishwa keki.



Mtangazaji wa Kipindi cha Kokoliko cha Lake Fm, Caroline Mwaipungu akilishwa keki
Fundi Mitambo Lake Fm, Benjamin Kanuda, akilishwa keki
Dj Dhifa wa 102.5 Lake Fm Mwanza, akilishwa keki


Mtangazaji wa Kipindi cha Viwanjani, Lake Fm, Ally Ngamba (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Antena, Lake Fm, Imani Hezron (kulia) aliyesherehekea siku yake ya kuzaliwa leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni