Utafiti uliofanywa na wataalam wa
afya wa nchini Marekani umeonyesha kuwa watu wapatao 1,200 hufariki
dunia kila siku duniani kutokana na kukaa kwa zaidi ya muda wa saa
tatu.
Ingawa kukaa ni sehemu ya maisha,
lakini takwimu zinaonyesha vifo vya 433,000 hutokea kila mwaka
duniani kutokana na hulka ya kukaa kwa masaa mengi.
Vifo vitokanavyo na mtu kukaa kwa
muda mrefu vinachangiwa na kutokuwa na usawa wa uzalishaji na
uharibifu wa molekuli za mwilini zisizo imara ambazo huweza
kusababisha kifo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni