.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Septemba 2016

WATUMISHI WA NDANI HONG KONG WAANDAMANA KUDAI HAKI ZAO

Watumishi wa majumbani wameandamana huko Hong Kong wakishinikiza kupigwa marufuku kitendo cha wao kulazimishwa kusafisha madirisha ya majengo marefu.

Maandamano hayo yamefuatia vifo kadhaa vya watumishi wa ndani katika miezi ya hivi karibuni vilivyotokana na kuanguka wakati wakisafisha madirisha ya maghorofa.

Watumishia hao wa ndani wa Hong Kong pia wametaka kuongezewa malipo yao, kupunguziwa muda wa kufanya kazi na malazi bora.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni