Mama wa mitindo maarufu kama Asya
Idarous Khamsin ataonesha mitindo yake kama mgeni mwalikwa kwenye "Plus
Size Fashion Show" inayo tegemea kufanyika huko Zanzibar Jumamosi ya Tarehe 8
August 2016 katika Hotel ya Grand Palace.
Asya amejipatia Shavu hili,kupitia
kampuni ya mitindo ya Zanzibar inayo tambulika kama "Style House" chini
ya C.E.O Mama Titi ambaye anaishi uingereza.
Ingawa Asya anaishi Marekani lakini
kwa sasa yupo hapaTanzania kwa
ajili ya onesho hilo lenye dhumuni
kubwa la kuchangia "Breast Cancer Zanzibar" Mbali na Mama wa mitindindo,
designers wengine pia watashiriki kikamilifu kwenye ufanisi Onesho hilo.
Special Apperance atakuwa ni
mwigizaji Wastara Sajuki, Burudani itatolewa na Khadja Kopa. (Nyote mnakaribishwa).

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni