Rais wa Colombia Juan Manuel Santos
ametwaa tuzo ya Nobel ya mwaka huu kutokana na jitihada zake za
kumaliza vita vya miaka 52 na kundi la waasi wa Farc.
Kamati ya Nobel imempongeza Santos
kwa kufikia makubaliano ya amani na waasi wa Farc, yaliyotiwa saini
mwezi uliopita baada ya miaka minne ya majadiliano.
Hata hivyo wananchi wa Colombia
wamepinga makubaliano hayo kwa kura chache katika kura za maoni
zilizopigwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mapinago hayo yameuwa watu
260,000.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni