.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 7 Oktoba 2016

AUSTRIA WAWACHOMOLEA WALES MARA MBILI NA KULAZIMISHA SARE

Wales imevurunda mara mbili nafasi ya kuibuka washindi, baada ya Austria kupambana na kusawazisha katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2018 ulioshia kwa sare ya 2-2.

Mpira uliopigwa na Joe Allen uliifanya Wales waongoze huko Vienna, lakini makosa ya kutokuwa makini kukaba yalimpa nafasi Marko Arnautovic kusawazisha.

Wales walikuwa bahatika kuongeza la pili baada ya Kevin Wimmer kujifunga goli, laki bada ya takika tatu tu Arnautovic alisawazisha kutokana na uzembe wa safu ya ulinzi ya wales.
                                Arnautovic akisawazisha goli kwa mpira wa kichwa cha chini 
                               Kipa Robert Almer akipangua mpira uliopigwa na Gareth Bale
                  Gareth Bale akishika kichwa baada ya shuti lake kupanguliwa na Kipa Almer 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni