Watu 13 wamekufa na zaidi ya 30
kujeruhiwa kusini mwa California baada ya basi lililokuwa kwenye
ziara kuligonga kwa nyuma lori.
Ajali hiyo imetokea karibu na mji wa
Palm Spring jana majira ya asubuhi saa za Marekani, ambapo wengi wa
abiria waliokufa wanatokea latini Amerika.
Wapelelezi wanachunguza chanzo cha
ajali hiyo, ambayo imetokea wakati basi hilo likielekea Jijini Los
Angeles.
Lori lililogongwa kwa nyuma na basi lilivyoharibika


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni