Nico Rosberg ameshinda mbio za Japan
Grand Prix huku mpinzani wake Lewis Hamilton akijutia kuanza mbio
hizo vibaya zilizofanyika Suzuka na kuishia kushika nafasi ya tatu.
Makosa ya Hamilton yalimpa fursa
Mjerumani Roberg ya kutokuwa na kazi ngumu kuweza kutwaa ushindi huo
wa kwanza wa Suzuka, na watisa katika msimu huu.
Nico Rosberg na Lewis Hamilton wakiwapungia mikono mashabiki wa mbio za langalanga
Nico Rosberg akimwagiwa Champagne usoni na dereva mwenzake wa timu ya Marcedes-Benz



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni