Goli la utata la dakika za mwisho la
Laurent Koscielny limeipatia ushindi Arsenal wa 1-0 dhidi ya Burnley
na kunogesha maadhimisho ya miaka 20 ya kocha Arsene Wenger.
Kocha Arsene Wenger amefikisha miaka
20 akiwa meneja wa Arsenal, baada ya kuijinga na timu hiyo Oktoba
1996.
Laurent Koscielny akifunga goli la utata kwa kusukumiza mpira kwa mikono
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni