.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 22 Oktoba 2016

HUDUMA YA MCHUNGAJI DANIEL KULOLA WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA YAFANA MKOANI DODOMA.

Huduma ya injili iliyofanywa na mchungaji kiongozi wa Kanisa la “EAGT Lumala Mpya Internationa Church ” lililopo Sabsaba Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (pichani), mkoani Dodoma imekuwa ya kufaana na watu wengi wameokoka na kubarikiwa.

Ni katika mkutano wa injili ulioandaliwa na kanisa la Siloam EAGT Ipagala mkoani Dodoma kwa juma zima ambapo unatariwa kufikia tamati kesho Oktoba 23, 2016. Picha na Jorum Samwel
Mchungaji Dkt.Daniel Kulola, akiendelea na huduma ya maombezi mkoani Dodoma
Wengi waliponywa na wanaendelea kuponywa kwa jina la Yesu, vifungo vilivyowatesa kwa muda mrefu.
                     Mchungaji Dkt.Daniel Kulola, akifanya maombezi mkoani Dodoma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni