Kinda wa Celtic mwenye kipaji cha
soka Karamoko Dembele, 13, ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya
Scotland ya wachezaji wenye umri wa chini ya miaka 16.
Katika mchezo huo dhidi ya Ireland
ya Kaskazini Dembele aliyeitwa kikosini alikaa benchi akishuhudia
Scotland ikishinda.
Kinda huyo anayelinganishwa na
Messi, amekuwa akitamaniwa na timu ya taifa ya Uingereza pamoja na
timu ya taifa ya Ivory Coast nao wamekuwa wakimuania kwa siri.
Karamoko Dembele akifanya mazoezi na wachezaji wa timu ya taifa ya Scotland
Karamoko Dembele akiwapongeza wachezaji wenzake baada ya kuibuka na ushindi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni