Aliyekuwa kapteni wa LA Lakers, Kobe
Bryant, anapiga mnada kifaa chake cha kujikinga pua ili kuchangisha
fedha kwa taasisi ya kujitolea, kikitarajiwa kuuzwa kwa kiasi cha
dola 15,000.
Bryant alilazimika kuvaa kifaa hicho
baada ya kuvunjika yake katika michezo yote wakati wa mwaka 2012
katika michezo ya nyota wote.
Pia Bryant alivaa kivaa hicho akiwa
anachezea Lakers, na kupachikiwa jina la 'The Masked Mamba'.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni