Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhami ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe kabla ya kupondoka kweye uwanja wa ndege wa Arusha kurejea Dar es salaam Oktoba 21, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, GAbriel Daqalo na watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Gabriel Daqalo kwenye uwanja wa ndege wa Arusha kabala ya kurejea jijini Dar es salaam Oktoba 21, 2016 . Jana alifungua Mkutano wa sita wa wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha `mikutano cha Kimataifa cha Arusha AICC. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe na Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni