Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya taifa ya Parole, Augustine Mrema baada ya kuembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Askari Magereza baada ya kutembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni