.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 1 Oktoba 2016

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA DOOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea hospitali ya mkoa wa Dodoma Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa maelekezo ya kuboresha usafi wa mazingira ya hospitali ya Mkoa wa Dodoma wakati alipoitembelea hospitali hiyo Oktoba 1, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa hospitali ya mkoa wa Dodoma baada ya kutembelea hospitali hiyo Oktoba 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa hospitali ya mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao baada ya kuitembelea hospitali hiyo, Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Bi. Fatuma Yassin wa Swaswa Dodoma wakati alipotebelea hospitali ya mkoa wa Dodoma Oktoba 1, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Bi. Magreth Kapinga wa Mpwapwa wakati alipotembelea hospitali ya mkoa wa Dodoma Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni